Rwanda yajiunga na jumuia
ya madola (Commonwealth)
16/12/2009

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Bi. Fatma
Ndangiza akitoa tamko rasmi la Rwanda kujiunga na Jumuiya ya Madola na
pia kushukuru mchango wa Tanzania kusaidia kufanikisha zoezi hilo jijini
Dar es salaam. Rwanda sasa ni mwanachama wa 54 wa Jumuiya ya Madola
(Commonwealth Countries) kufuatia kukubaliwa na wakuu wa nchi wanachama
wa Jumuiya ya Madola katika mkutano uliofanyika Trinidad na Tobago.
|