Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Abdulhakim (Kim) afariki dunia

17/12/2009

Abdulhakim Magomelo (pichani kushoto) maarufu kwa jina la (Kim) amefariki dunia tarehe 16/12/2009 kwenye hospitali ya binafsi inayoshughulika na magonjwa ya moyo iliyopo Manzese, Dar es Salaam. Taarifa hiyo ilitolewa na shemeji yake bwana Muddy Bawazir.

Abdulhakim ni mmoja wa vijana aliyechangia katika fani tofauti nchini Tanzania na zaidi atakumbukwa na vijana aiyewapa fursa na kuichukua fursa hiyo kwa kuitumia kwa njia nzuri katika maisha yao.

Abdulhakim amezikwa makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam hii leo saa kumi na moja Alasir baada ya mwili wake kuchukuliwa kutoka nyumbani kwake mtaa wa Mkwepu kuelekea msikiti wa Ngazija, mtaa wa Makunganya, Dar es Salaam, kwa kuswaliwa swala ya maiti na kuelekea makaburi ya Kisutu. Mola amsemehe madhambi yake na amghufirie adhabu za kaburini na kesho akhera. Amen.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©