Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Elimu bila malipo Pemba

19/12/2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akizungumza na Walimu, Wananchi na Wanafunzi katika Sherehe za Elimu bila Malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini, Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akimkaidhi kikombe Mwalimu Khamis Juma Ali, Skuli bora Kidato cha 2 katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, wilaya ya Chake chake, mkoa wa Kusini, Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akimkaidhi kikombe Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Hamamni cha Ushindi wa jumla Kidato cha 6, Mshenga Ali Abass, katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, wilaya ya Chake chake, mkoa wa Kusini, Pemba.

Wanafunzi wa Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, mkoa wa Kusini, Pemba wakifuatilia kwa makini harakati za Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli hiyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©