Tanzania Portland Cement
yatoa misaada
22/12/2009

Mama Salma Kikwete akiwa
na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Portland Cement, Pascal Lesoinne,
wakitoa zawadi za vyakula na vitu mbalimbali kwa vikundi viwili vya
watoto yatima vya Mbagala na Mama Theresa cha Mburahati. Vyakula hivyo
vilivyotolewa na Kampuni ya Saruji ya Twiga vina thamani ya zaidi ya
shilingi milioni 20, kwa ajili ya sikukuu ya Krismas, Makabidhiano hayo
yalifanyika katika ofisi za WAMA jijini Dar es Salaam.
|