Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Prince William alala mitaani kama asiye malazi

23/12/2009

Prince William wa United Kingdom (pichani kulia) amelala mitaani pamoja na wasio na malazi kuangalia hisia ya vipi inakuwa kulala mitaani bila ya makazi maalum na katika kipindi hiki cha baridi kali.

Prince william alijichimbia na kulala kwenye maboksi kwenye vichochoro vya London, karibu na daraja la Blackfriars, katika baridi ya -4C (minus four - degree - centigrade). Prince William alikuwa katika mpango wa kusaidia 'charity' ambazo zinasaidia watu wanaolala nje ambao hawana makazi maalum.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©