Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mpango wa maji wazinduliwa Zanzibar

06/01/2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Makaazi, Dk. Anna Kajumulo Tibaijuka, alipofika ikulu mjini Zanzibar kuzindua Mpango wa Mkakati wa Mamlaka ya Maji (ZAWA).

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©