FBME bank yafungua tawi
Zanzibar
08/01/2010

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akikata Utepe
Kuashiria Ufunguzi wa Benki ya Federal Bank of Middle East (FBME) tawi
la Zanzibar huko Kisiwandui Mjini Zanzibar katika shamra shamra za miaka
46 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Shoto ni Mwenyekiti wa FBME Farid Saab.

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume (kushoto)
akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa tawi la FBME, Fonal Majichia, baada
kuifungua benki hiyo.

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume (kushoto)
akipongezwa na watoto wa Skuli ya maandalizi wakati wa ufunguzi wa Benki
ya FBME tawi la Zanzibar.
|