Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     
HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

Hitma ya Mzee Rashid Mfaume Kawawa - London

10/01/2010

Hitma ya Mzee Rashid Mfaume Kawawa ilifanyika Jumamosi ya tarehe 09 Januari 2010 katika msikiti wa St Annes uliopo London ambapo wahudhuriaji mbalimbali walifika kwa kuguswa na msiba huo wa Mzee Rashid Mfaume Kawawa aliyefariki dunia mwishoni mwa mwaka jana. Pichani juu Sheikh akionekana akisoma wasifu wa marehemu.

Wahudhuriaji mbalimbali walihudhuria katika msiba huo katika msikiti wa St Annes, mjini London.

Wahudhuriaji mbalimbali walihudhuria katika msiba huo katika msikiti wa St Annes, mjini London.

Wahudhuriaji mbalimbali walihudhuria katika msiba huo katika msikiti wa St Annes, mjini London akiwemo balozi wetu wa UK, Hajjat Mwanaidi Maajar (pili kulia).

Wahudhuriaji mbalimbali walihudhuria katika msiba huo katika msikiti wa St Annes, mjini London.

Wahudhuriaji mbalimbali walihudhuria katika msiba huo katika msikiti wa St Annes, mjini London.

Wahudhuriaji mbalimbali walihudhuria katika msiba huo katika msikiti wa St Annes, mjini London.

Picha zote na Ayoub Mzee.

Custom Search

Go up

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©