Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Karume azindua barabara mpya Pemba

11/01/2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad, alipowasili katika uwanja wa Mkutano wa Makombeni jana. Mkutano ulizungumzia zaidi umoja na utulivu Nchini, katika kusherehekea miaka 46 ya Mapinduzi Zanzibar.

Wananchi wa Makombeni Mkoa wa Kusini Pemba, wakimsikiliza Rais Karume alipozungumza nao wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira Makombeni, miongoni mwa shamra shamra za miaka 46 ya Mapinduzi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akikata utepe ikiwa kama ishara ya uzinduzi wa Barabara ya MKoani, Makombeni Pemba, katika kusheherekea miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Machano Othman Saidi, pamoja na Viongozi wengine, wakitembea katika Barabara ya mkoani, Makombeni, iliyojengwa na nguvu za Serikali, mara baada ya kuizindua ikiwa ni sherehe za kuadhimisha miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©