Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Harambee ya mafuriko Kilosa

15/01/2010

Mlezi wa Mtandao wa wanataaluma (Tanzania Professionals Network - TPN) Dk. Maua Daftari (shoto) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama Cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) Tanzania na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Alhaj Adam Kimbisa, msaada wa vitu mbali mbali vyenye thamani ya shilingi 1.4m/- vilivyotolewa na wafadhili baada ya kuhamasishwa na Jamii Forum, Globu ya Jamii, TPN na mwanakijiji.com kusaidia waathirika wa mafuriko huko Kilosa katika sherehe fupi iliyofanyika ofisi za Msalaba Mwekundu jijini. Wengine wanaoshuhudia toka shoto ni Rais wa TPN Mzalendo Sanctus Mtsimbe, Mike Mushi na Max Melo (wakurugenzi wa Jamii Forum) na Issa Michuzi wa Globu ya Jamii. Misaada hii ni awamu ya kwanza ya michango hiyo ambayo bado inaendelea kutolewa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©