Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Soko la Kariakoo

18/01/2010

Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, likionekana katika hali ya usafi baada ya Manispaa ya Ilala kuwaondoa wafanyabiashara waliokuwa wamejenga vibanda kandokando ya soko hilo kwa kuzingatia afya na usafi wa kimazingira.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©