Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Rais Karume ahudhuria mahafali ya Chuo Kikuu cha Zanzibar

19/01/2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akizungumza na wazee na wanafunzi waliohitimu katika mahafali ya 7 ya Chuo Kikuu cha Tunguu, ZANZIBAR UNIVERSITY yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho, Tunguu, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akimkabidhi zawadi mmoja wa miongoni mwa wahitimu waliofanya vizuri, katika masomo yao (bora) wa Chuo Kikuu cha Tunguu, ZANZIBAR UNIVERSITY, katika mahafali ya 7 ya chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho Tunguu.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©