![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Watanzania waishio UK23/01/2010
Kamati ya
kuandaa mchakato wa upatikanaji wa viongozi wapya wa watanzania hapa
Uingereza (taskforce) inawatakia watanzania wote mwaka mpya wenye neema
na baraka tele. Muundo na mwelekeo huu mpya wa umoja wa watanzania utayazingatia mambo ya muhimu ambayo ni muhimu kuyaweka wazi.
• Umoja
utahakikisha unaendelea kujifunza; na kuwa wazi katika utendaji wake;
kuwaelimisha na kuwawezesha wanajamii wake,ili waweze kuwa sehemu ya
mabadiliko na ufanisi katka jamii yetu. Tafadhali watanzania au viongozi wa jumuiya za kitanzania waishio miji ifuatayo, Tunaomba mawasiliano ili tuweze kupata watu watakaokuwa tayari kufacilitate uanzishwaji wa Umoja wa watanzania katika miji yenu.
Cardiff,
Milton Keynes, Belfast, Glasgow, Northern Ireland, Norwich, G.
Manchester, Portsmouth, Southampton, Leicester, Dublin, Birmingham,
Luton Slough, Coventry, London Tunaomba muwasiliane na kamati hii ya Umoja wa watanzania kupitia:
Email:
Uniting-Communities@yahoogroups.com , au Simu zifuatazo: Tafadhali anagalia kiambatanisho kwa habari zaidi. Taarifa ijayo itaambatanisha repoti ya kamati ya taskforce
Asanteni Kwa habari zaidi tafadhali bonyeza hapa.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||