Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Vodacom yazindua kampeni ya kuchangia waathirika wa mafuriko ya Kilosa

24/01/2010

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare (katikati) akizungumza na Waandishi wa habari leo asubuhi kabla ya uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Vodafone Red Alert, inayoendeshwa na kampuni ya Vodacom Tanzania. Kampeni hiyo inalenga kuwahamasisha wateja wa Vodacom kuwachangia Watanzania waliopatwa na maafa kwa kutuma neno MAAFA kwenda namba 15599, kila ujumbe mmoja utatozwa shilingi 250/- alieyakaa kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali mstaafu Bakari Shabani na kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©