Maalim Seif Sharif Hamad
kuhutubia London
30/01/2010

Maalim Seif Sharif
Hamad anatarajiwa kuhutubia katika mkutano wa kihistoria utakaofanyika
East London Jumamosi ya tarehe 13 Februari 2010.
Mkutano utazungumzia
umoja miongoni mwa Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla kwa manufaa
ya Watanzania.
Watanzania wote bara
na visiwani mnakaribishwa kuhudhuria mkutano huu utakaofanyika Barking
Abbey School Leisure Centre, Woodbridge Road, IG11 9ET, Jumamosi ya
tarehe 13 Februari 2010, kuanzia saa 1.30pm.
Train station ya
karibu ni Upney station (dakika 5 kutembea).
Kwa maelezo zaidi piga
simu 07535656346.
Kwa niaba ya Maalim
Abdallah (ZAWA).
Wote mnakaribishwa.
Zenjydar Community Association.
Tumia Ramani
View Larger Map
Tumia Transport for London

|