Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Kikao cha 14 cha Wakuu wa Afrika

01/02/2010

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Libya, Muammar Gaddafi wakati wa kikao cha 14 cha wakuu wa nchi za Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia kilichoanza juzi na kutarajiwa kumalizika leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini Rais Omar el Bashir wa Sudan walipokutana kwa faragha katika siku ya kwanza ya kikao cha 14 cha wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika kinachofanyika jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokutana na rais Blaise Compaore wa Burkina Faso wakati wa kikao cha 14 cha wakuu wa Umoja wa Afrika kinachofanyika nchini Ethiopia.

Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Mataifa Mheshimiwa Benard Membe wakati wa kikao cha 14 cha Wakuu wa nchi za Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wake wa Wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika katika ukumbi wa makao makuu ya Jumuia ya Afrika nchini Ethiopia.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©