Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Jengo jipya la ofisi ya Waziri Kiongozi Pemba

02/02/2010

Afisi ya Waziri Kiongozi Pemba imetoa changamoto kwa Mawizara na Afisi nyingine za Serikali kisiwani humo kwa kujenga afisi mpya katika bandari kongwe ikiwa ni hatua moja kubwa iliyopiga kutokana na hali ya afisi ya zamani. Jengo hilo liko katika hatua za mwisho za ukamilishwaji pembezoni ni jengo dogo la afisi ya mfuko wa maendeleo ya jamii, TASAF.

Jengo la zamani la Afisi ya Waziri Kiongozi, iliopo Chake Chake, Pemba.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©