Ziara ya Waziri Mkuu -
Mpwapwa
03/02/2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari
za mafuriko yaliyovunja daraja la Gulwe na kukata mawasiliano kati ya
Mji wa Mpwawa na eneo la Kusini la WIlaya ya Mpwapwa. Waziri Pinda (kulia
pichani) akionekana alipotembelea eneo lililoathirika kwa mafuriko
katika wilaya hiyo mwanzoni mwaka huu. Kulia kwake ni Mbunge wa Mpwapwa,
George Lubeleje.
|