Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Machinga na Mgambo jijini

15/02/2010

Mgambo wa jiji na Mfanyabiashara wa mifuko ya plastiki wakiwa wamekunjana baada ya mfanyabiashara huyo kukutwa akiendelea na biashara yake katika eneo la Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam jana ambalo haliruhusiwi kwa wafanyabiashara hao. Picha na mpiga picha Maalum wa Mwananchi.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©