Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Madawa ya kulevya yakamatwa

16/02/2010

Kamanda wa Polisi wa viwanja vya ndege nchini, Kamishna msaidizi Mwajuma Kiponza(kulia) akiwaonyesha waandishi wa habari madawa yakulevya yaliyokuwa yameifadhiwa kwenye vinyago. Madawa hayo yalikamatwa kutoka kwa mtuhumiwa anayejulikana kwa jina Halid Maunga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere alipokuwa akijiandaa kuyasafirisha kwenda Uingereza.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©