Upanuzi wa uwanja wa ndege
umeanza
17/02/2010

Mkurugenzi Mtendaji wa
Mamlaka ya viwanja vya Ndege (TAA) Mkandarasi Prosper Tesha(kulia)
akimuonyesha Waziri wa Miundombinu Dk. Shukuru Kawambwa ramani ya uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mkoani Dar es Salaam
utakavyokuwa baada ya kuunganisha na eneo la Kipawa, Kigilagila na
Kipunguni.
|