Mkurugenzi Mkazi wa Benki
ya Dunia amtembelea Karume
19/02/2010

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume, akisalimiana na
Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na
Burundi John Murray Mclntire, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, (wa
pili kulia) ni Dieter Schelling.
|