Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

WEF on Africa yaja Tanzania

04/05/2010

Hili ni eneo la nje, sehemu ambamo upo ukumbi wa Mlimani City ambao kesho utatumika kwa ajili ya Mkutano wa Dunia wa Kiuchumi kuhusu bara la Afrika (World Economic Forum on Africa - WEF)

Mkutano utaanza rasmi siku ya Jumatano tarehe 5 Mei 2010 hadi Ijumaa, Mei 7, 2010.

Mapambo ya kupendezesha barabara watakakopita wageni ni pamoja na usimamishaji wa miti ya Minazi katika barabara ya Sam Nujoma kuanzia eneo la Mwenge hadi Ubungo. Inasemekana kuwa miti hiyo imepandikizwa kwa thamani ya Shilingi 700,000/= kwa kila mmoja.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©