Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Daraja la Vingunguti

05/05/2010

Daraja la Vingunguti lililokuwa njia mbadala ya magari kutoka Tabata kuingia Vingunguti Kiembe Mbuzi kuvuka mto Msimbazi limejengwa hivi karibuni kwa gharama ya mabilioni ya shilingi, hivi sasa daraja hilo limevunjika baada ya mvua ya msimu mmoja tu iliyonyesha jijini Dar es Salaam.

Jiji la Dar es Salaam lina madaraja mengi, na mengi ya madaraja hayo huweza kustahimili mvua ndiyo maana yanaendelea kutumika nyakati zote. Mpaka sasa haijajulikana ni kipi hasa kilichosababisha daraja hili la Vingunguti liharibike haraka?

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©