Viongozi wa TAUK wakutana na Balozi
09/05/2010

Mwenyekiti wa TAUK Dk. Lusingu akifafanua jambo mbele ya waalikwa kwa
nyumbani kwa Balozi. Balozi wa Tanzania Uingereza Mama Maajar alikutana
na viongozi wa TAUK (taifa pamoja na mikoa) kuzungumzia shughuli za
jumuiya hizo na maendeleo yake. Mazungumzo hayo yalifanyika nyumbani kwa
balozi wikiendi iliyopita.
|