Sherehe za uzinduzi wa
daraja la Umoja
12/05/2010

JK na
Rais Guebuza wa Msumbiji wakisalimia wanachi katika daraja la Umoja
linalounganisha TAnzania na Msumbiji kijiji cha Mtambaswala mkoani
Mtwara wakati wa uzinduzi wa daraja hilo.

JK na
Rais Guebuza wa Msumbiji wakiwa na marais wasataafu Alhaji Ali Hassan
Mwinyi na Mh. Benjamin William Mkapa kwenye sherehe hizo za uzinduzi wa
Daraja la Umoja.

Sehemu ya daraja la
umoja lililopo eneo la Mtambaswala, wilaya mpya ya Nanyumbu, mkoa wa
Mtwara.
|