Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Abu Dhabi yaweka machine inayotema Dhahabu (ATM)

13/05/2010

Tumeshaona mashine za kutoa pesa, vinywaji, vitafunio, vyakula, na kadhalika... Hoteli ya Emirates Palace iliyopo Abu Dhabi imekuwa ni hoteli ya kwanza duniani kuweka mashine ya namna hiyo ambayo badala yake inatoa Dhahabu baada ya kulipa pesa kamili inayotathmini thamani ya dhahabu ya wakati uliopo.

Hoteli ya ya Emirates Palace iliyojengwa kwa dola bilioni tatu ($3bn)ambayo inamilikiwa na serikali, imeonakana ni sehemu muwafaka ya kuwekwa mashine hiyo 'Gold To Go' ambayo yenyewe imetengenezwa na kupambwa kwa dhahabu yenye thamani ya 24-carat.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©