![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Boris Johnson azindua mabasi mapya (Routemaster)15/05/2010
Meya wa London, Boris Johnson amezindua mabasi mapya katika mchakato wa kutumia magari yasiyotumia wese (Hybrid Green Technology). Mchakato huo umeanza muda mrefu tangu mashindano ya usanifu wa uchoraji na mpaka kufikia kuwa karibu na kuundwa na kuwekwa katika mitaa ya London muda si mrefu kuanzia sasa. Kwanza yatatengenezwa mabasi matano tu ambayo kutokana na teknolojia yake yatagharimu £7.8 million.
Pichani zote za juu ni usanifu wa mchoraji ikiwa kama ni mfano wa basi linalotarajiwa. Kwa kuangalia mashindano ya usanifu wa magari hayo, rejea habari ya Zenjydar kwa kubonyeza hapa.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||