Alain Robert (Spiderman)
apanda Burj Khalifa, Dubai
16/05/2010

Alain
Robert (Spiderman) wa kifaransa ambae ni bingwa wa kupanda minara na
majumba marefu bila ya kutumia chombo chochote kwa ajili ya uslama wake,
amepanda jengo la Burj Khalifa lilioko Dubai kwa takriban dakika 20 tu,
jengo ambalo ndilo refu kuliko majengo yote duniani (kwa hivi sasa) huku
umati wa watu ukiwa unashuhudia kitendo hicho.

Mmoja wa waliohudhuria
kumuangalia Alain akiparamia jengo la Burj Khalifa, akichukua taswira ya
ukumbusho wa kihistoria katika jiji la Dubai.
|