Mwandosya aelezea
rasilimali ya mto Nile
17/05/2010

Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Tanzania, Prof. Mark
Mwandosya (pichani) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu
ushirikiano wa nchi za Bonde la Mto Nile, ambapo ameelezea lengo lake ni
ukusanyaji wa Takwimu za mizania ya rasilimali za maji katika eneo la
nchi za maziwa makuu.
Nchi kumi zinajumuisha BONDE la Mto Nile ni Burundi,
Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Egypt, Eritrea, Ethiopia, Kenya,
Rwanda, Sudan, Tanzania na Uganda.
|