Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Rais Karume afungua mkutano wa Baraza la Biashara ZNZ

19/05/2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, pia Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Zanzibar, akifungua mkutano wa 4 wa baraza la biashara hilo (ZBC), unaozungumzia zaidi biashara katika soko la Afrika Mashariki.

Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Salama Hotel, Bwawani, mjini Zanzibar.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©