Uwanja wa AMANI Zanzibar
22/05/2010

Muonekano wa uwanja mpya wa Amani,
Zanzibar baada ya ukarabati wa nguvu.

Rais wa
Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mheshimiwa Amani
Karume akikagua uwanja mpya wa Amani baada ya kufanyiwa ukarabati wa
nguvu baada ya ujenzi huo kukamilishwa na wajenzi wa kutoka China.
|