Rais Kikwete ahutubia
bunge la Afrika Mashariki
25/05/2010

Siku
ya Jumanne, tarehe 25 Mei 2010, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa sasa wa Bunge la Jumuiya ya Afrika
Mashariki, Jakaya Mrisho Kikwete, alihutubia bunge la Afrika Mashariki
mjini Nairobi, Kenya. Aliyeketi (kulia mwa raisi) ni Spika wa bunge hilo
Mhe. Abdirahim Abdi. |