Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

ATCL yaachisha wafanyakazi

27/05/2010

Kamati ya kudumu ya Bunge na Fedha na Uchumi iliyokutana jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei 2010 imeridhia mapendekezo na ushauri wa Ofisi ya Msajili wa Hazina la kuwaachisha kazi Wafanyakazi wote wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ili kuipunguzia mzigo Serikali. Ushauri huo umetolewa na mshauri wa Msajili wa Hazina bwana Godfrey Msella kwa kusema, "kama ATCL haibebeki, ni bora Serikali ibwage manyanga" na hivyo kufuatiwa na tamko rasmi la Mwenyekiti wa tume hiyo ya Bunge, mhe. Abdallah Kigoda.

Hatua kama hiyo iliwahi kuchukuliwa katika shirika la Bima la Taifa (NIC) na imependekezwa kuwa hatua hii isiishie ATCL pekee bali ifike pia katika Shirika la Reli nchini (TRL).

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©