Kikwete afungua kiwanda
cha saruji na barabara mpya
30/05/2010

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi
Mtambo Mpya wa kutengeneza Saruji katika kiwanda cha Saruji Tanga.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mtendaji Mkuu wa MCC Bwana Daniel Yohannes (kushoto)
na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt wakifunua
kitambaa kwenye jiwe la Msingi kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa
Barabara ya Tanga-Horohoro.
|