Rais Karume azindua rasmi
umeme Pemba
02/06/2010

Rais wa Zanzibar ambae ni mwenyekiti wa
baraza la Mapinduzi akibonyeza kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa umeme
wa gridi ya taifa uliopita chini ya bahari kutoka Tanga hadi Pemba.

Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa
Gombani huko Pemba.
|