Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mechi ya Taifa Stars na Brazil kutoonyeshwa TV za majumbani

05/06/2010

Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Frederick Mwakalebela akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Habari-Maelezo amesema kuwa mechi ya kirafiki kati ya Taifa Stars na Brazil haitaoneshwa moja kwa moja (LIVE) na runinga za nyumbani Tanzania bali vituo hivyo vya luninga vitaruhusiwa kurusha mechi hiyo mara baada ya dakika 90 za mchezo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©