Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Rais Karume afungua mkutano wa miradi ya jamii

16/06/2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume emefungua mkutano wa siku 5 kuhusu miradi ya Jamii kwa nchi zinazoendelea katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha. Mkutano huo umewashirikisha wajumbe wa nchi 45 duniani.

Pichani ni baadhi ya wajumbe zaidi ya mia mbili waliohudhuria mkutano huo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©