Kikwete azindua eneo la
viwanda Bagamoyo
26/06/2010

JK akiweka jiwe la msingi
katika eneo la viwanda la Kamal Industrial Estate,huko Kerege, Bagamoyo,
mkoa wa Pwani, leo jioni. Kampuni hiyo ya Uwekezaji kutoka India
itajenga viwanda mbalimbali katika eneo hilo.
|