Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Tapeli akamatwa na Mwanamama

27/06/2010

Pichani wanaonekana wakazi na wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo jijini Dar  es Salaam wakimshangaa mwanamke ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa anamdhibiti tapeli wa mchezo wa bahati nasibu.

Kijana huyo mwenye shati jeupe anayedaiwa kujifanya ni muwakilishi wa kampuni ya bahati nasibu kwa kutumia watu SMS za ushindi na kuwataka kutuma fedha ili wapate zaidi.

Mama huyo aliweka mtego baada ya kutuma fedha ambapo tapeli huyu anadaiwa kumtaka mhusika apeleke shilingi laki mbili eneo hilo ili awekewe milioni moja katika simu yake.

Ndipo Mwanamke huyo alipomnasa tapeli huyo.

Mguu kwa mguu akimuwelekeza polisi.

Mwanamama akiwasili na tapeli huyo polisi kumfungulia mashtaka yake.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©