Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Morocco 1 - Tanzania 0

10/10/2010

Timu ya Taifa ya Morocco imeweza kujipatia pointi kwa goli la ugenini baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, bao moja kwa bila.

Mchezaji wa Morocco, mshambuliaji Mounir El-Hamdaou ndiye aliyefunga bao hilo pekee la mchezo kwa shuti kali toka mguu wa kushoto, lililomshinda mlinda mlango Juma Kaseja, dakika mbili tu kabla ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza na kwenda mapumziko mafupi.

Mchezo huo ulifanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©