Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Wachimba migodi Chile hatimaye waokolewa

13/10/2010

Wachimba migodi 33 walionaswa chini ya ardhi yapata urefu wa mita 700 kwenda chini (futi 2,300) kwa zaidi ya miezi miwili katika machibo ya mgodi wa San Jose karibu na Copiapo, nchini Chile, hatimaye wapatiwa ufumbuzi wa kuokolewa.

Wachimba migodi hao walikuwa wakihudumiwa kwa virutubisho maalumu vya afya vilivyokuwa vikipenyezwa katika upenyo uliochimbwa kwenye maeneo ya mgodi na kuwafikia. Waliweza pia kuwasiliana na jamaa zao kwa njia ya mawasiliano ya video.

Wachimbaji wote 33 waliokolewa salama na wataendelea kupatiwa huduma muhimu.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©