-
Zanzibar kuwa kama Hong Kong –
Unguja
-
Kuendeleza mashamba ya Karume-
Kibanda maiti
-
Kubadilisha katiba na kuunda katiba
mpya ya muungano na Zanzibar- Pemba
-
Kubadilisha mfumo wa uteuzi
makamishna wa tume ya uchaguzi
Zanzibar (ZEC)- Unguja
-
Kuwaunganisha Wazanzibari ili
kujenga umoja, udugu na ushirikiano-Pemba
-
Kuwasilisha hoja ya kubadili katiba
ya Zanzibar na ya Muungano-Viwanja
vya Kibanda Maiti
-
Kuondoa bajeti ya ZEC isiwe chini ya
waziri kiongozi na badala yake kuwa
inajitegemea yenyewe- Pemba
-
Kuondoa ulazima wa mwenyekiti wa
tume kuwa jaji na badala yake awe
mtu anayejua sheria-Unguja
-
Serikali kuundwa na vyama vyote
vilivyopata ridhaa ya kuchaguliwa na
wananchi- Unguja
-
Kujenga jamii yenye maelewano na
umoja -Pemba
-
Kutokochagua kiongozi kwa urafiki
bali kwa uwajibikaji na uadilifu -Unguja
na Pemba
-
Kudhibiti vyombo vya dola
vinavyofanya kazi kwa matakwa ya
watu binafsi -Kibanda aiti
-
Kukomesha rushwa-Mkanyageni Mkoa wa
Kusini Pemba
-
Kuhakikisha ununuzi wa zabuni
unakuwa wazi na wananchi kuruhusiwa
kuhoji kuhusu zabuni-Jimbo la Dole
Pemba
-
Kuongeza kima cha chini cha mshahara
hadi Sh150,000-Mkanyageni Pemba
-
Kubadili vikosi vyote vya usalama na
kulipwa mishahara kima cha chini
kulipwa Sh 180,000-Chakechake Pemba
-
Kubadilisha kikosi cha KMKM kuwa
kikosi cha mwambao-Wawi
-
Wazee
kupanda daladala bure na wale
wasiokuwa na watoto kulelewa
bure-Majimbo ya Chakechake
-
Kufuta
michango yote ya shule za msingi na
sekondari, kila mwanafunzi kuwa na
kompyuta na badala ya kuishia darasa
la saba sasa kuishia kidato cha
sita-Hoteli ya Bwawani
-
Kutoa
kitambulisho cha kila Uzanzibari na
kufuta cha Mzanzibari mkaazi- Uwanja
wa Hospitali ya Mnazi Mmoja
-
Kila
Mzanzibari kupata pasi ya kusafiria-
Hoteli ya bwawani Zanzibar
-
Kuanzisha shirika la ndege Zanzibar
-Viwanja vya Kibanda Maiti
-
Kupandisha uchumi wa Zanzibar kutoka
6.8 hadi 15 kila mwaka kwa Zanzibar
-Unguja
-
Kutoa
uhuru zaidi kwa vyombo vya habari
pamoja na kusaidia uanzishwaji wa
Baraza la Habari Zanzibar-Unguja na
Pemba
-
Kuweka
hadharani nambari yake ya simu -
Viwanja vya Kibanda Maiti
-
Kubadili sheria ya
uwekezwaji-Hospitali ya Mnazi Mmoja
Zanzibar
-
Kila
mwanafunzi kuwa na komputa
yake-Viwanja vya Kibanda Maiti
-
Akiwa
rais hata waziri au mkewe atafungwa
akiwa ametenda kosa-Viwanja vya
Tibirizi Kisiwani Pemba
-
Kujenga bandari ya Mkokoto na Pemba
ili kuweka usafiri wa haraka wa boti
ziendazo kasi-Tibirizi Kisiwani
Pemba
-
Ahadi
kudhibiti kuvuja kwa mitihani-
Unguja
-
Kujenga reli mpya kutoka Dar es
Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya
ziwa-Nzega, Tabora
-
Mkoa
wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga
mjini
-
Tabora
kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga
-
Kulipa
madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa
Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga
-
Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini-
Dodoma
-
Wakulima kuacha kutumia jembe la
mkono-Dodoma mjini
-
Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya
Mrijo, Dodoma
-
Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi
ya Misenyi-Kagera
-
Kujenga Uwanja wa Ndege
Misenyi-Kagera
-
Kupanua Uwanja wa Ndege
Bukoba-Bukoba Mjini
-
Kujenga uwanja wa ndege mkubwa
Kigoma - Kigoma Mjini
-
Mtukula kupatiwa umeme kutoka
Uganda- Kagera
-
Mikoa
ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na
Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya
taifa ya umeme- Kagera
-
Kuimarisha Takukuru kwa miaka
mitatu-Kagera
-
Hukumu
kwa waliopatikana na hatia ya kuua
albino- Mbeya
-
Kununua meli kubwa kuliko MV
Bukoba-Kagera
-
Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili
ya wajasiriamali
-
Serikali kuvisaidia vyama vya
ushirika-Mwanza
-
Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na
Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi
maalum chenye vifaa kupambana na
wahalifu-Mwanza
-
Wilaya
ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari
mwakani- Geita
-
Kulinda Muungano kwa nguvu
zote-Pemba
-
Kuwajengea nyumba waathirika wa
mafuriko Kilosa-Morogoro
-
Kununua meli mpya kubwa Ziwa
Nyasa-Mbeya mjini
-
Kujenga bandari Kasanga –Rukwa
-
Kumaliza tatizo la walimu miaka
mitano ijayo - Songea
-
Kufufua mgodi wa makaa ya mawe
Kiwira -Mbeya
-
Kuzuia
hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama-
Tanga
-
Kununua "bajaji" 400 kwa ajili ya
kubeba wajawazito hasa vijijini-
Iringa
-
Kujenga barabara yenye kiwango cha
lami kutoka Same mpaka Kisiwani
–Kihurio na kuiunganisha na barabara
kuu ya Moshi -Dar es salaam- Same
mkoani Kilimanjaro
-
Kumaliza tatizo la maji katika
wilaya ya Same-Same Mjini
-
Kuboresha barabara za Igunga -Tabora
-
Kusambaza walimu 16,000 katika shule
za Sekondari zenye upungufu makubwa
wa walimu- Kisesa Magu
-
Kununua vyandarua viwili kwa kila
kaya- Mbeya Mjini
-
Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu
saba nchini kuwa za rufaa ili
kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili (MHN)-Hydom Manyara
-
Kulinda amani nchini kwa kuzuia
chokochoko za kidini, kikabila na
kisiasa- Musoma
-
Kulinda haki za walemavu- Makete
-
Kujenga baabara ya Njombe- Makete
kwa kiwango cha lami,urefu wa
kilomita 109- Iringa mjini
-
Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu
Arusha-Arusha
-
Kuanzisha jimbo la Ulyankulu-
Shinyanga Mjini
-
Kujenga barabara ya lami
Manyoni-Kigoma– Kaliua,Tabora
-
Kukarabati barabara ya Arusha
Moshi-Arusha Mjini
-
Kuboresha barabara ya Handeni,
Kondoa mpaka Singida-Dodoma
-
Kuwafidia wanakijiji ng’ombe
waliopotea wakati wa ukame mwaka
2009- Longido 45.Vijiji vyote
vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye
bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa
Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama
kuunganishiwa maji - Shinyanga
-
Tatizo
la umeme kufikia kikomo Novemba
mwaka huu mkoani Arusha –Arusha
mjini
-
Kukopesha wavuvi zana za
kilimo-Busekera, Wilaya ya Musoma, .
-
Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya
Longido- Longido
-
Kujenga barabara ya lami kupitia
pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya
Seregenti – Ngorongoro
-
Utekelezaji wa mpango wa maendeleo
ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza
kupata na kutunza mifugo yao vizuri-
Mbulu mkoani Manyara
-
Kusambaza maji nchi nzima-Babati
vijijini
-
Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za
afya, na uboreshaji wa kilimo cha
umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa
wakulima. mwaka 2010-2015-Babati
vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya
wananchi wanaonufaika na ruzuku ya
pembejeo za kilimo kwa mfumo wa
vocha.-Iringa
-
Kuhakikisha Isimani inapata maji ya
uhakika- Iringa
-
Kuiwekea lami barabara inayokwenda
katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha,
ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko
zote Tanzania-Iringa
-
Kulinda usalama wa wananchi kwa
ujumla ili kudumisha amani na sifa
ya nchi-Ifunda
-
Kutokomeza malaria 2015-Bunda, Mkoa
wa Mara
-
Kuwapa
wanawake nafasi zaidi-Kilolo, Iringa
-
ahadi
kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi
mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti
Mjini Zanzibar
-
Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi
Mmoja Zanzibar kuwa ya
rufaa-Kabandamaiti mjini Zanzibar
-
Kuisaidia Zanzibar kila
panapohitajika msaada-Kibandamaiti
-
Serikali kujenga upya bandari ya
Mbambabay-Ruvuma
-
Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa
kubeba tani 400 - Mbamba-bay Ruvuma
-
kufufua chama kikuu cha ushirika cha
wakulima wa Mbinga (MBICU) –Ruvuma
-
Ahadi
Rais wa Marekani Barack Obama
kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
-
Ahadi
hakutakuwa na umwagaji wa damu baada
ya uchaguzi-Dar es Salaam
-
Mtwara
kuwa mji wa Viwanda –Mtwara
-
Ahadi
ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua
viluilui vya mbu-Kibaha
-
Hospitali ya Tumbi kuwa ya
mkoa-Kibaha
-
Halmashauri ya manispaa ya Kibaha
kutenga eneo maalumu la viwanda -Kibaha