Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Dk. Shein na Seif Cherekochereko

01/11/2010

Rais Mteule, Dk. Ali Mohamed Shein na Maalim Seif Sharif Hamad wakikumbatiana baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010 Zanzibar. Dk. Shein kupitia CCM alipata kura 179,809 sawa na 50.1% ya kura zote, na Maalim Seif kupitita CUF alipata kura 176,538 sawa na 49.1% ya kura zote na zilizobaki ni za vyama vingine.

Hakika ni picha ya kihistoria ambayo wengi wananchi wa nyumbani waliokuwa wakifanya subra kuiona. Hongera Dk. Shein na Maalim Seif na tunawatakia kila la kheri.

Rais Mteule Dk. Shein akipewa hongera na mkewe Mama Mwanamwema.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©