Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Dk. Shein aapishwa Zanzibar

03/11/2010

Jukwaa rasmi limeandaliwa kwa siku ya kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Mohamed Shein katika uwanja wa Amani, Zanzibar.

Rais mpya wa awamu ya saba ya uongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein ameapishwa kushika hatamu za uongozi kwa kipindi cha miaka mitano, 2010 - 2015. Hafla imefanyika asubuhi kwenye majira ya saa tatu katika uwanja wa Amani, Zanzibar.

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©