Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

Advice

 

Advice

Huduma ya 'Advice':

Huduma ya 'Advice' ni moja ya huduma ambazo zinatolewa na Zenjydar community Association bila ya malipo kwa kusaidia jamii katika huduma ambazo tunazihitaji siku baada ya siku katika maisha yetu ya hapa United Kingdom. Kama una shaka na jambo ambalo hujajua wapi ulianzie kwa kujiamini kabisa, basi mtoa ushauri wetu au (advisor) yupo tayari kusaidia mahitaji yako na bila ya malipo yoyote.

Huduma za 'Advice' ni kama zifuatazo:

  • Uhamiaji au (Immigration) kwa ujumla ikiwemo uthibitishaji wa kuomba pasipoti ya UK

  • Ufuatiliaji wa kupata sheria ya kuishi hapa nchini UK

  • Ukalimani

  • Haki za kupata nyumba

  • Haki za kupata huduma za afya uwapo nchini UK

  • Maelekezo ya mafunzo ya kuanzia kazi yenye ustadi na uajira bora

Kuweka miadi, wasiliana nasi kwa kupiga simu namba 020 8472 8620, au kwa barua pepe zenjydar@gmail.com au njoo kwenye ofisi yetu (angalia ramani hapo chini).

Siku: Jumatatu na Alhamisi (Ila siku za sikukuu)

Saa: 2:00pm mpaka 5:30pm

Mahali: 170 Harold Road, Harold Centre, Plaistow, London, E13 0SE

 

Advice service:

Zenjydar Community Association provides FREE professional Advice service to UK residents (Swahili speakers), asylum seekers and refugees.

 

Our services:

  • Advice on Immigration issues, refugees and asylum seekers

  • UK passport countersign

  • Swahili interpreter

  • Housing

  • Health services for UK residents and new comers e.g. GP referral

  • Guidance to training and job search

To book for an appointment, contact us on 020 8472 8620, or send us email to zenjydar@gmail.com or come to our offices (see map below).

Open: Mondays and Thursdays (except public holidays)

Time: 2:00pm to 5:30pm

Office: 170 Harold Road, Harold Centre, Plaistow, London, E13 0SE

 


View Larger Map

 

 

 
   
 
 

 

Custom Search

Go up

 

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©