Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

Employment

 

Employment

Huduma ya 'Employment':

Huduma ya 'Employment' ni moja ya huduma ambazo zinatolewa na Zenjydar community Association ikishirikiana na jumuia nyingine katika kuwapatia jamii uajira bora kutoka kwenye mashirika tofauti. Huduma hizi zinaletwa kwenu bila ya malipo yoyote.

Tutakuwa tunatoa nafasi za kazi mara kwa mara, tafadhali pitia kwenye mtandao wetu kuangalia kazi itakayokufaa.

 

Employment:

Zenjydar Community Association working together with other organisations to provide FREE referral service to job search and up to date job vacancies from different companies and organisations to you (the community). We will be updating new vacancies frequently, so please, watch this space.

 

Available Vacancies:

Kazi zifuatazo ni kwa Watanzania wanaoishi UK au Europe; Nafasi za kazi hizi zipo Tanzania.

 

Product Officer
Business Development Officer
Relationship Officer
Credit Officer
Senior Credit Risk Officer (Wholesale)
Senior Credit Officer (Monitoring)

 

Iwapo utapendezewa na kazi yoyote hapo juu, tutumie barua pepe (email) na tutakupa maelekezo ya maombi ya kazi.

 

 

To book for an appointment, contact us on 020 8472 8620, or send us email to zenjydar@gmail.com or come to our offices (see map below).

Open: Mondays and Thursdays (except public holidays)

Time: 2:00pm to 5:30pm

Office: 170 Harold Road, Harold Centre, Plaistow, London, E13 0SE

 


View Larger Map

 

 

 
   
 
 

 

Custom Search

Go up

 

www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007