Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

SALAMA CHARITABLE TRUST

PAKISTAN FLOODS APPEAL

LONDON OLYMPIC 2012

DIASPORA 2: LONDON

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 

Kwik Links

Weather

Watch Live Television

News Archives

News Archives

External Links

TZ Embassy UK

TZ Community UK

Alnoor CET

Salama Charitable Trust

More Links

EID FESTIVAL 2008

Ramadhan Qur'an Contest

Zenjydar Ubalozini UK

Zenjydar Anniversary

Volunteers wa Zenjydar

GAP Project

Dk. Jakaya Mrisho Kikwete atangazwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

 

Baada ya siku tano za kusubiri matokeo ya kura zilizopigwa na wananchi siku ya Jumapili, Oktoba 31, 2010 ili kumpata mtu atakayekimiliki kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hatimaye matokeo hayo yametolewa na Tume ya Uchaguzi Tanzania, NEC, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar Es Salaam. Jakaya Mrisho Kikwete atangazwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongoza kura asilimia 61.17%.

 

habari kamili...

WELCOME TO ZENJYDAR COMMUNITY ASSOCIATION NEWS

Rais wa Zanzibar Dk. Shein aongoza kikao cha kwanza

04/11/2010

Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein (katikati), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume (kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Shamsi Vuai Nahodha, wakiwa katika kikao cha siku moja cha kamati Maalum Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.

habari kamili...

Dk. Shein aapishwa Zanzibar

03/11/2010

Rais mpya wa awamu ya saba ya uongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein ameapishwa kushika hatamu za uongozi kwa kipindi cha miaka mitano, 2010 - 2015. Hafla imefanyika asubuhi kwenye majira ya saa tatu katika uwanja wa Amani, Zanzibar.

habari kamili...

H. E. Kallaghe meets the Queen Elizabeth II

02/11/2010

TANZANIA High Commissioner to the United Kingdom, Ambassador Peter Kallaghe, presents his credentials to Queen Elizabeth II at the Buckingham Palace, London.

habari kamili...

More recent news

 

kwa habari zilizopita bonyeza hapa


Hot news!!!

 

Video folders

 

 
 

Sports

 

habari kamili...

habari kamili...

 

 

Fuatilia matokeo ya Barclays Premier League hapa

 

Custom Search
 

Go up

 

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©