|
Zenjydar Community Association H Harold Centre, 170 Harold Road, Plaistow, London, E13 0SE È 07886 535282
|
|
TAREHE 18/08/2007 KOCHA WA TAIFA STARS YA TANZANIA
Katikati ndiye Kocha wetu wa timu ya taifa ya Tanzania, Bwana Marcio Maximo wa kutoka Brazil. Akiwa na washabiki wa Tanzania aliyekutana nao katika ziara ya timu ya taifa ya Tanzania ilipotembelea Denmark. TAREHE 19/08/2007 HUYU NDIYE SEKI
Huyu ndie Seki, ni mchekeshaji na muigizaji anayechipukia kwa kasi nchini Tanzania. Umaarufu na usanii ni hodari sana kwa kuigiza sauti za watu mashuhuri akiwamo Baba wa taifa, Mwalimu Nyerere. Hivi sasa amekuwa ni 'Producer' wa kipindi maarufu cha TV cha uchekeshaji kiitwacho (Ze Comedy). TAREHE 20/08/2007 NDEGE YA KWANZA YA KUCHUKUA ABIRIA KUTOKA MJINI GLASGOW
__________
__________
Ndege ya kwanza katika bara la Ulaya kuchukua abiria katikati ya mji kwa njia ya majini. Ndege hiyo ijulikanayo kama Cessna 208 inaanza rasmi kazi yake kuchukuwa abiria kutoka Glasgow katika mto maarufu Clyde, uliopo katikati ya mji wa Glasgow. Ndege hiyo itaanza safari zake za masafa mafupi ya kupeleka abiria katika mikoa ya karibu ya ulaya. Ndege hiyo itafanya kazi mara tatu kwa siku, mara saba kwa wiki mfululizo kwa miezi kumi na kupumzika miezi miwili kila mwaka inategemea na mahitaji ya abiria na hali ya hewa. Huduma zake rasmi zimeanza Alhamisi ya tarehe 23/08/2007. TAREHE 21/08/2007 TIMU YA VIJANA YA ZENJYDAR
Timu ya vijana ya Zenjydar ya watano-watano wakiwamo wa miaka 8-11 na miaka 12-14, ambayo walichuana na timu zingine za watoto wa umri wao siku hiyo ya Jumanne, tarehe 21/08/2007.
Mapumziko
Stamina na ustadi (Walid - kulia) akijaribu kumtoka mlinzi wa timu ya upinzani wa timu ya vijana wa umri wa miaka 8-11
Makini
1-3-1
Feisal wa kundi la miaka 12-14 akichukua Medali yake na akifuatiwa na Ahmed (kushoto), kulia ni muwakilishi wa mashindano hayo wa bara la Newham.
Said akichukua medali yake
Ahmed akichukua medali yake
Vijana waliowakilisha (under 11) wakichukua medali zao
Kutoka kushoto: Abdallah Sheikh, Kassim Abdallah K., Masoud Ali, Feisal Saleh, Walid Awadh, Bashir Ahmed, Mahir Omar. Kutoka nyuma kushoto: Said Seif, Haroun Ahmed, Ahmed Shafi, Said Seif, Mohammed Ali.
Timu ya vijana wa Zenjydar wakiwa na Mwenyekiti wa Zenjydar, Bwana Saleh Jaber __________ WATALII - TANZANIA
Watalii wakichukuwa ustadi wa kuchonga magogo, Tanzania __________ UNAMKUMBUKA ADAM SHAFI?
Wengi tulimsikia tu, na wengi tulisoma vitabu vyake, lakini huyu ndiye mwenyewe, ndiyo Adam Shafi, aonekanavyo hivi sasa. Umaarufu wake aliupatia katika utunzi wa kitabu chake maarufu kiitwacho 'Kuli' ambacho kilisomwa na wengi nchini Tanzania na nchi za jirani za Afrika ya Mashariki. TAREHE 22/08/2007 UNGUJA
Zenjy ionekanavyo hivi sasa
Boda kwa boda
Boda kwa boda
Boda kwa boda
Boda kwa boda
Boda kwa boda
Boda kwa boda
Boda kwa boda
Boda kwa boda
Boda kwa boda
Boda kwa boda
'Supermarket' ndani ya Boda kwa boda __________ KIMBUNGA CHAIKUMBA GHUBA YA MEXICO [photogallery/photo00018716/real.htm]
TAREHE 23/08/2007 WA TANZANIA WA SWEDEN
Wa Tanzania wa Sweden __________ KIWANJA CHETU KIPYA CHA TAIFA - DAR ES SALAAM, TANZANIA
Viti
Kwa nje ujenzi unaendelea
Entrance (mlango wa kuingilia) TAREHE 24/08/2007 DOLPHINS - POMBOO
Hivi karibuni katika bahari ya Scotland, wameonekana zaidi ya Pomboo 130, wengine wakionekana nje-nje wakipata riziki yao kwa kula samaki. Pomboo huanza kumla samaki kutanguliza kichwa kwanza kama ionekanavyo hapo juu pichani. Kawaida, pomboo wanakula kilo 10 ya samaki kwa siku. JUST FOR FUN
- Picha za Bongo na Issa Michuzi - Shukran! |
|
|