|




Nani kasema
daladala hawana nidhamu?


Jipende au
mpende mkeo; Ubungo, mia umevaa


Pamoja na kuwa vyama vingi vya nyumbani vina rai tofauti,
lakini wabongo (watanzania) hatusahau ule utamaduni wetu
wa kuwa pamoja katika swala la kitaifa; wote huwa kitu
kimoja



Mji mkuu wetu wa Tanzania (Dar es Salaam) unazidi
kupendeza kwa rangi za kuvutia za mabango ya barabarani














Watanzania waliopo London walikutana na kuandaa futari
ya (Ramadhan) ya kijamaa ambayo ilifanyika Tottenham,
London



Kwanini boti nzito lakini haizami? Je, mtumbwi unaweza
kubeba gari? Bongo = Bongo


Vingunguti ipo Dar es Salaam, na umaarufu wake ni sehemu
ya kununua mbuzi, nyama za ng’ombe, na kadhalika. Hapo
juu pichani muuza makongoro akianika biashara yake
swaaaafi



DDC Kariakoo ionekanavyo hivi sasa



Mtaa wa Congo ukionekana na watu kibao wakifanya
shopping ya mwisho mwisho ya Eid El Fitr



Nyumbani kutakuwa na ulinzi mkali kuhakikisha watu
wanamaliza Eid El Fitr kwa usalama kabisa



Baadhi ya waislamu walikusanyika maeneo ya Jangwani, Dar
es Salaam kusali sala ya Eid El Fitr








Baadhi ya waislamu walikusanyika London kusali sala ya
Eid El Fitr


Huyo sio muuza kahawa; ni mmoja wa wakazi wa Kigogo
mwisho, Dar es Salaam, akitoa salamu za Eid El Fitr kwa
watanzania popote pale wale walipo. Vilevile anasema
“kazi na burudani"


Cheka na vikatuni |